Ushauri katika manunuzi ya TOYOTA SIENTA

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,943
Reaction score
3,531
Wakuu natumai mu wazima!

Nahitaji ushauri katika manunuzi ya TOYOTA SIENTA (2003-2004)

Katika kupitia website tofouti tofouti nimeona CIF yake sio mbaya, ila kuna vitu nahitaji kujua

Mfano
1.Kodi yake ni kiasi gani (kwa ujumla wake pale TPA) ?
2.Upatikanaji wa spare zake ukoje?
3.Upatikanaji wa mafundi wa ukweli wa hiyo gari? na
4.Utumiaji wake wa mafuta!

Natanguliza shukrani zangu wakuu.
 


Wajuzi wa haya magari watakuja, tuvute subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…