Tiririka sodoka. Si kuna gas mtwara?nani kakudanganya petroleum ajira zipo nje nje .........
Nenda architecture wewe...hizo petrol unazan utapewa nafasi wewe au wachina??Asanteni wakuu nimewaelewa wote. Shukrani[emoji1545][emoji106]
hata mmi nimemaliza 2016 nimepata two naomba ushauri napenda electric chuo gani ni kizuriWe soma unachopenda na jitahidi ufanye vizuri na uwe vizuri kwa kazi pia. Dunia ina nchi nyingi kuna kampuni nyingi na yet ukiwa architecture unaweza jiajiri. Usijilimit bado uko mdogo kuna wazee wanaanza kuota upya sasa.