Hizi gari ni chaguo la wanawake wengi, kama wewe ni me haikufai. Pili nahisi hakiko stable barabarani-hasa kwenye highway.Wapendwa wangu naomba mnishauri nmetokea kuyapenda sana haya magari aina ya Cami coz yapo juu nahic yatakuwa yanafaa hasa kwa hizi Barbara zetu,naomba ushauri kama spear zake je znapatikana na bei hazko juu sana.Mungu awabariki