activemedia africa
Senior Member
- May 28, 2013
- 141
- 26
Habari Wadau.
Naishi Dar, Nahitaji kujua tofauti kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy, nahitaji kununua gari moja kati ya hizo.
Sina uzoefu nazo na ningependa kujua kuhusu ubora, ulaji wa mafuta, gharama za service na kitu kingine chochote cha msingi kuzingatia ili niamue lililo bora kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy.
Natanguliza Shukrani
Nunua rangerover
Kaka mbona umechanganya picha?
Nunua range haili mafuta
Mkuu umechambua vizuri sana, vp kuhusu 4wd noah, nini shida take, na je, ipo noah ya 4wd yakuingiza manual na si outo?
itakuwa inakula samaki!Sasa inakula nini?
Toyota Noah ndo mpango mzima hususani road tour imetulia iwapo barabarani na huuzika kirahisi