Simu yangu aina ya Nokia 210 ina matatizo lukuki kama ifuatavyo:
1. Inapoteza meseji
2. inagoma kufungua intenet
3. inapoteza majina na namba za watu
4. imepoteza app ya whatsapp
Naomba ushauri wa kitaalamu ni nini cha kufanya.
View attachment 126469