kisana moja
Member
- Aug 27, 2013
- 52
- 13
[emoji13] [emoji13]Mkuu hakuna anayeyajua mapenzi na asikudanganye mtu.Kama ukipata hayo makala jifunze lakini usiyatilie maanani sana...Writers of those journals, most of them are losers of the highest order as long as Love is concerned.
mkuu ingia google utapata nyingi sanaHabarini marafiki
Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari. Asante
Only time can heal broken heartHabarini marafiki
Naomba mwenye makala nzuri yenye ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake ama inayozungumzia suala la mahusiano kwa ujumla anitumie tafadhari. Asante
Sijaachwa jamaniiiiBila shaka umeachwa.
Ni ngumu sana mlevi kukubali kuwa kalewa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijaachwa jamaniiii
Ndio nini hizoooowe ni me au me?
Sasa mbona unataka kusoma yanayohusu kuachwa.Sijaachwa jamaniiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] moyoni mwake ndio kuna siri.Ni ngumu sana mlevi kukubali kuwa kalewa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Labda ulitaka kuandika 'me au ke'.we ni me au me?