ATB stoic
Member
- Nov 14, 2023
- 76
- 62
Habarini Wana Jf na wajenzi wa humu
Kama kichwa kinavyo sema nina eneo dogo tu ft 50*40 lenye ardhi ya mchanga mweupe kama ule wa kujengea .
Wazo langu ni kujenga vyumba vitatu ,sebure,jiko na vyoo vya public ramani hapo chini.
Naomba kupata mchanganuo juu ya gharama za boma kabla ya finishing.
Natanguliza shukurani