Nashkuru sana kwa ushauri mzuri.Inategemea ni biashara gani unataka kufanya, lakini kwa uzoefu wangu minada haswa ya dar faida kidogo sana au hamna.
Kwanza watu wanategemea mnadani wapate vitu bei rahisi kupita uhalisia, pia wanaokuja minadani ni wanafunzi mama wa nyumbani na mahouse girl ambao pesa kwao ni tia maji tia maji. Usisahau wakazi wa dar upatikanaji wa bidhaa kwao ni rahisi sana maana wako karibu na masoko makubwa.
Kwa ushaur tu kama unataka biashara ya minada nenda mikoani nasikia inafanya vizuri ingawa me sijawahi kujaribu.
Hakika hujakoseaInategemea ni biashara gani unataka kufanya, lakini kwa uzoefu wangu minada haswa ya dar faida kidogo sana au hamna.
Kwanza watu wanategemea mnadani wapate vitu bei rahisi kupita uhalisia, pia wanaokuja minadani ni wanafunzi mama wa nyumbani na mahouse girl ambao pesa kwao ni tia maji tia maji. Usisahau wakazi wa dar upatikanaji wa bidhaa kwao ni rahisi sana maana wako karibu na masoko makubwa.
Kwa ushaur tu kama unataka biashara ya minada nenda mikoani nasikia inafanya vizuri ingawa me sijawahi kujaribu.
Shukrani mkuu Minada ya mkoani kama mkoa upo ni mizuriIngia machaka ya mikoani jipe miaka miwili kuendelea utakua mtu mwingine kabisa kiuchumi huoni hata azam tv anapumulia humo humo
Nenda kanda ya ziwaShukrani mkuu Minada ya mkoani kama mkoa upo ni mizuri
Sawa ndugu kwa dodoma VpNenda kanda ya ziwa
Mkoa wa Manyara. Mchawi Probox, huhitaji hata meza na ukimaliza unarudi na watu kwa nauli nzuri tu.Shukrani mkuu Minada ya mkoani kama mkoa upo ni mizuri
Mkoa wa Manyara. Mchawi Probox, huhitaji hata meza na ukimaliza unarudi na watu kwa nauli nzuri tu.
Hapana. Mimi Nina binamu Zangu hizo ndiyo Kazi zao, wapo Meru huwa wanapiga hela Minada ya mkoa wa Manyara.Kondoa vijijini kaka nako unauzoefu nako
Shukrani kaka isiwe kama ya dar tuHapana. Mimi Nina binamu Zangu hizo ndiyo Kazi zao, wapo Meru huwa wanapiga hela Minada ya mkoa wa Manyara.
Wapo vizuri Sana kifedha.
Minada yote iko poa nikuelewa tu uitaji mkubwa wa hiyo sehemu kizuri cha minada ni watu wengi kwa wakati mmojaShukrani mkuu Minada ya mkoani kama mkoa upo ni mizuri