Inalika sana, ila changamoto ni kupata iliyo fresh ndio shida kwa mjini, unakuta imekaa kwenye freezer mpaka kutengeneza uvundo, kuna kama maeneo mawili ivi, niliagiza nikakutana na ladha ambayo sio
Inalika sana, ila changamoto ni kupata iliyo fresh ndio shida kwa mjini, unakuta imekaa kwenye freezer mpaka kutengeneza uvundo, kuna kama maeneo mawili ivi, niliagiza nikakutana na ladha ambayo sio
Ungeweza usafirishe wakiwa bado wazima, uje uchinjie huku kitu fresh nadhani utapata wanunuzi sana, aisee kitimoto ni habari nyingine ile aisee hadi na salivate hapaa😋😋.
Ila sijawahi kuona kitimoto wakisafirishwa umbali mrefu mfano from mikoani kuja Dar labda,sijui shida ni nini au zile kelele zao?