Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Nawasalimu wote, shida yangu ni kuwa nimepatwa na jipu sehemu za siri likiwa na maumivu makali pembeni kidogo ya kiungo changu cha uzazi upande wa juu. Nina aibu ya kwenda hospitali, mwenye kujua tiba ya hili tatizo naomba aniambie nikanunue madawa. Nina maumivu makaki sana na homa kali.