Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
gazeti gani!!Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha udom,sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao,mana amesoma post nyingi zinazohusu udom kwamba kuna udin kwahiyo anapata kigugumizi cha kupost
jamani aliyeona kazi za academic naomba atupie hapa mana nimeingia udom.ac.tz nimekutana na nafasi za administrative peke yake
Leo gazeti moja wametoa tangazo la kazi kule chuo cha UDOM, sasa kuna mdau ameniomba ushauri kwamba je atume maombi ya kazi au aachane nao, mana amesoma post nyingi zinazohusu UDOM kwamba kuna udini kwahiyo anapata kigugumizi cha kupost.
ombs kama ubastahl japi kiujwel pake tubaoajua
Aisee mbona umeandika kama unakimbizwa!!! Sijaelewa unachomaanisha.
ombs kama ubastahl japi kiujwel pake tubaoajua
jamani aliyeona kazi za academic naomba atupie hapa mana nimeingia udom.ac.tz nimekutana na nafasi za administrative peke yake