-recomended uwe na dola 700 mpaka 800 na mtu nje wa kumuagizia ununue dell inspiron 15 mpya au laptop yenye sifa kama hizo ndio itatick box zote, specs zenyewe ni kama
-processor ya i7 quad hii ni nzuri kwa mambo yote hayo hapo juu
-gpu yenye angalau vram za GDDR5 kama Nvidia 1050
-ram 8 au 16gb
-display ya FuLl HD
kama upo kwenye budget tafuta pc ya 4th gen inayoishiwa na M hizi ni nzuri sana na zinapatikana kirahisi mtaani around 400,000 hadi 600,000, hizi utapata
-processor nzuri yenye nguvu ya core moja na core zote.
-hata kama ram itakuwa 4gb utaweza iongeza mwenyewe taratibu hadi ifike 8gb au 16gb
-gpu yake ya ndani yaani HD4600 ni kati ya gpu bora za ndani.
hii ni list ya hizo processor za 4th gen
-i3 4000M
-i3 4100M
i5 4200M
i5 4300M
i7 4600M
i7 4700HQ
i7 4700MQ
zote hizo zina variety zake mfano i5 4300M ina wenzake kama 4310M, 4320M, 4330M etc