Badilisha aina ya starehe... Stress zinatupata kwa kuwaza starehe ipo moja tu, afterall tuna milango mitano ya fahamu
1. Kuona, unaweza ukapata starehe kwa kuona au kuangalia tu
2. Kugusa, kugusa nako kuna starehe yake
3. Taste, we lamba lamba vitu kadhaa ujuwe radha ya hivyo vitu. utapata starehe pia...
4. Kusikia nako kunaleta starehe
5. Kunusa nako kuna starehe yake bana