Ushauri jamani



.....nice shot..!!..,. BAAANNGGGG!!
 
kazi chafu lakini lazima ifanywe bana Asprin we vipi?
kwa raha zake ,
kwanini kwanza asifanye kila siku kama umri,akili,afya,majukumu,mazingira,na oll ze needful ako kwenye mstari ladylady iwe ni rafiki yako iwe ni wewe!
mwambie she is daaaaamn good very right!
maisha yenyewe ndo haya haya bana!
ENJOY!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahaha lol, kazi kweli kweli
 
mimi haijanitokea hayo ndio maana nilimshauri awasiliane na dr. Mimi nina miaka 41 sasa na sihisi kabisa kuwa miaka aliyotaja ilibadilika au kuwa tofauti na miaka mingine

Sio wanawake wote hutokewa na jambo hilo, lakini kwa mujibu wa tafiti zilizowahi kufanywa na wataalamu...matokeo yameonesha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 30 na ushee huwa ana hamu kubwa ya kudinyana kuliko umri wowote na hali hiyo huendelea kuelekea menopause.

Bahati mbaya hapa natumia simu lakini pengine ningelikuonesha mahali pa kusoma ku-support maelezo yangu...
 
kawaida kabisa iyo.umri unaruhusu.,,,atapoa mwenyewe akishafika menopouse
 
Tatizo lako ulimeza Abott na Nelkon, ona sasa unauliza maswali magumu.

Sipendi!

 
way TOOO COMMON !
 
kwa hiyo mimi na shosti ake ladylady hatuchekani!
ahahahahahhahahahhahahahahahahhaa L.M.A.O


NA LINI ULIANZA KUMCHUNGUZA MWALIMU WAKO KWA KIMO HIKI!

mwalimu wangu snowhite.....mimi so mwanafunzi nisiye mchunguzi ujue!
 
Last edited by a moderator:
I AM WARNING YOU!
ehehhehhehhe mi murder cases sizitaki ujue!
lol!

LOL

Ukweli ni kwamba huyu bibiye nadhani kuna vitu wameongeza chumvi, vinginevyo ni hali ya kawaida kabisa (nina uzoefu ujue na watu wa ivyo:tongue🙂

Kunitisha apo juu you are making it even better.....lol ntakuja ofisini 'we make it up'
 
Demand ya kufanya mapenzi kila siku tena kwa mwanamke, hapana hilo litakuwa ni pepo, angelikuwa Me labda lakini ke, majanga.
 
Kweli umri huo unasumbua sana sababu unakuta watoto wameshakua wanauwezo wa kujitegemea mfano kula, kuoga, kwenda shule wenyewe. Ndo mana unaona kuwa kumbe nilikuwa namiss kugegedwa sana basi unakuta anafanya kwa pupa. Matokeo yake ndo hayo akikosa ana changanyikiwa.
 
Kweli umri huo unasumbua sana sababu unakuta watoto wameshakua wanauwezo wa kujitegemea mfano kula, kuoga, kwenda shule wenyewe. Ndo mana unaona kuwa kumbe nilikuwa namiss kugegedwa sana basi unakuta anafanya kwa pupa. Matokeo yake ndo hayo akikosa ana changanyikiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…