Ushauri jamani

ladylady

Member
Joined
Jan 28, 2009
Posts
40
Reaction score
19
Niko na rafiki yangu mmoja tuko naye mara nyingi sehemu ya kazi. Ana miaka 36 ni mdogo kwangu kidogo lkn amekuwa akiniambia kuwa tangu alipofika miaka 35 amekuwa akipenda kufanya tendo la ndoa kila siku hawezi kabisa kulala bila hilo.

Na hata kama mume wake hayupo nyumbani ni afadhali afanye masturbation kuliko alale hivyo.

Nimemwambia aingie jf aombe ushauri kwa dr. anasema aliwahi kuongea na doct akamwambia miaka 34-40 kwa mwanamke ni miaka ambayo inasumbua wanawake wengi. hili linaukweli? dr tusaidie .
 

CC Asprin and The Boss msaidieni huyo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata kama mume yupo, huyo mume wa kumfanyisha mtu mapnz kila siku kila siku hana kazi zingine za kufanya!!!
 
Nimemwambia aingie jf aombe ushauri kwa dr. anasema aliwahi kuongea na doct akamwambia miaka 34-40 kwa mwanamke ni miaka ambayo inasumbua wanawake wengi. hili linaukweli? dr tusaidie .

Hilo lina ukweli na huyo mdogo wako hana kasoro kabisa...

Labda unaweza ukampa ushauri kulingana na experience uliyokuwa nayo wewe wakati unapitia umri kama huo...
 
Chongo hutofautiana, zingine hunuka.
Ila kuna ka ukweli kati ya umri na ulaji wa balimi moto.
 
wewe si ni ndugu yetu hapa jf au si wewe? ngoja nimwite my cousin Lady doctor aniambie kama ndo wewe uliyepotea muda mrefu au ndo kinda la mwisho la baba mkubwa watu8
 
Last edited by a moderator:
hilo lina ukweli na huyo mdogo wako hana kasoro kabisa...

Labda unaweza ukampa ushauri kulingana na experience uliyokuwa nayo wewe wakati unapitia umri kama huo...

mimi haijanitokea hayo ndio maana nilimshauri awasiliane na dr. Mimi nina miaka 41 sasa na sihisi kabisa kuwa miaka aliyotaja ilibadilika au kuwa tofauti na miaka mingine
 
atamuua baba watoto jamani ? daily
 
huyo nikimpata namsugua hadi basi, yaani kusoma post yako tu tayari ngoma iishaanza kukidumisha.
 
Duh! Maradhi mengine bhana!
Mwambie afanye mazoezi ya kichura-chura! Na azingatie milo (misosi)!
 

Well, umesema ni mdogo kwako which means we uko above 36.
Dr. Kamwambia miaka 34-40 ni kawaida hiyo makitu kutokea.
Hesabu za haraka kama wewe uko kinyume na ushauri wa daktari basi weye ndo ulipaswa ushtuke kwakuwa ulipaswa kuwa na hamu ya kila siku kama daktari alivyosema..

Swali: Umeuliza kijanja kupitia kwa mgongo wa rafiki yako? Au una mashaka na daktari wa huyo mwenye pepo la ngono?

Hiyo mashine inayosuguliwa kila siku sipati picha rangi yake ikoje.
Afu utuulizie hapo kwa blue, kama mwezi mzima hawezi lala bila kunaniliyuiwa, akiwa anableed anaingiza gunzi au tango?

Madaktari: Mtambuzi, Kaizer, amu, Paloma, Kipaji Halisi, Madame B, snowhite, cacico hebu kujeni pande hii.
 

Asprin, mwambie ani-PM, hata nami nilikuwa na tatizo kama lake, ila now limepungua, toka kugegedwa mara 10 kwa siku mpaka mara 7, nimepiga hatua kubwa sana jameni.

Ila asiogope, maana sio sabuni ile, haiishi kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…