balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,868
- 15,735
Sasa yeye anajuaje nimemcheat au sijamcheat ili akokulud kwamba yeye tayari au bado? Hii kitu imenimix sana aseeTafsiri yake mbona simple tuu.
Kama uliwahi kumcheat kakucheat Mara 10 zaidi.
Kama haujamcheat na yeye hawezi kukucheat.
Hivyo kuwa mwaminifu
Kwa hiyo kumuuliza hivyo ni kosa?Hivi ukimuuliza mtu swali hilo unategemea jibu ganiii? Endeleeni kusalitiana tu.
Kwa hiyo ananisaliti?Tafsiri yake usipende kuuliza maswali yasiyo na majibu.
Fanya yako tu utakufa kwa kihoro.
Ni kosa kubwa sana kama unamuamini unamuuliza swali hilo la nini? umeonyesha ni kiasi gani haumuamini ndio mana ukamuuliza na kakupa jibu zuri sana.Kwa hiyo kumuuliza hivyo ni kosa?
Kwa hiyo ananisaliti siyo?Ni kosa kubwa sana kama unamuamini unamuuliza swali hilo la nini? umeonyesha ni kiasi gani haumuamini ndio mana ukamuuliza na kakupa jibu zuri sana.
Maswali gani hayo jamaan kamchunguze mpenzi wako ujue mbivu na mbichiKwa hiyo ananisaliti siyo?
Hilo ni jibu la kwanza la pili anaweza kuwa hakusaliti ila alikujibu hivyo siku ingine usimuulize swali kama hilo.Kwa hiyo ananisaliti?
Anajuaje cijamcheat au nimemcheat nd na yeye acheat?Jibu unalo wewe kama umecheat naye kacheat kama hujacheat naye hajacheat....ha ha ha
Una umri gani kwani mkuuImenisononesha sana aseee