Godlisten Masawe JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 738 Reaction score 283 Jul 6, 2013 #1 Wasalaaam wakuu wa kazi. ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya pugu, vituo vinne mbele ya gongo la mboto.
Wasalaaam wakuu wa kazi. ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya pugu, vituo vinne mbele ya gongo la mboto.