Eti!kwamba anakufokea,anarudi asubuhi...still kwenu hajawahi fika,na simu pia hapokei nawe bado unampikia na kushare nae kitanda?amka ndugu yangu,simama imara kama mwanamke anayejitambua muda wa kurisk maisha ulishapita kitambo!beba mwanao sepa,kawapigie magoti wazazi waombe radhi kwa kuishi kinyume na maadili!mwanaume kitu gani dadangu kama ameshindwa kuprove uanaume wake mbele ya wazazi wako why ujipe jakamoyo na kiumbe asositirika?eh?huyo muache kabla ye hajakuacha,hakuthamini hata chembe,kifupi unaishi na kirusi ndani ya nyumba sio mwanaume huyo!