:nono::nono::nono::nono::nono:
Its better to leave while you can!!!!!!!!!!!!!!! The leopard never changes its spots no matter how much he is washed!
After several years akishakuzalisha watoto wa 3 utakuja kujilaumu kwa kutokuondoka mapema! TRUST ME WHEN I TELL YOU IT ONLY GETS WORSE OVER TIME!!!!!!!!!!
Kama imeandikwa ni wako ni wako hata ukiondoka atakufata, na kama si wako hata ukibaki hatokuoa!
Obama kalelewa na single Mom itakuwa wewe!!!!!!!!!!??????????????
Kwanza kabisa, ukae na mwanaume sababu unampenda. Kama humpendi ondoka.
Pili, Unasema kosa lako lilikua kukaa nae bila ndoa. Kufanya kosa kunasameheka, ila kulidumisha, au kulirudia is avoidable. Umesha gundua lilikua kosa, kwanini usirekebishe?
Tatu unasema unaogopa mtoto atalelewa bila baba, this is nonsense. Watoto wangapi walilelewa bila baba zao na they did just fine? Obama kalelewa na baba wa kambo! Wengine tunao wajua na tusio wajua wanalelewa na mama zao tu and they do well. Ni wewe tu kuamua.
Nimalize kwa kusema it is not easy, maybe una-hope kua ukimtishia kuondoka atastuka na kukuoa, instead of kukupoteza but think about this: tayari mnaishi kama mtu na mume wake, what will that ring change? Hisia zako, kuchelewa kwake kurudi na mengine ni mchanga tayari, ndoa haito badili those things.
Kama unaweza, fanya maamuzi magumu, endelea na maisha yako. akikupenda aje kwenu, akuoe, na muanze maisha mapya (but usiwekei sana focus huku, be independant kwanza)
Achana nae, na waambie ndugu zako wampotezee,kama wanapiga hapokei nidharau hana nia njema na hafai katika jamii. Maana hata angekuwa hataki kukuoa angesikia wanasema nini angewaheshimu hata kwa ajili ya mtoto. Achana nae kabisa,kama wako atakutafuta baadae akili ikimrudia.
Sasa kwa nini hujawahi kumuuliza kwa nini huwa anarudi asubuhi? unaogopa atakuacha! upendo wa kweli lazima ujue mmeo yuko wapi kwanini harudi nyumbani,vinginevyo ninatia shaka huu uhusiano.Mwambie sasa unaomba mfunge ndoa na umwambie aache tabia ya kutorudi nyumbani akikataa jua anataka kukutumia tu achana naye kwa maana anaku risk na magonjwa kama UKIMWI hasa huko anakolala.
Heshima ya ndoa ni pamoja na kuheshimu ndugu wa pande zote upande wa mke na upande wa mme au na ndugu zake huwa hapokei simu zao? maisha ya ndoa yanakuwa mateso sana hasa kama mmoja wapo hajampenda mwenziye.
Kwanza kabisa, ukae na mwanaume sababu unampenda. Kama humpendi ondoka.
Pili, Unasema kosa lako lilikua kukaa nae bila ndoa. Kufanya kosa kunasameheka, ila kulidumisha, au kulirudia is avoidable. Umesha gundua lilikua kosa, kwanini usirekebishe?
Tatu unasema unaogopa mtoto atalelewa bila baba, this is nonsense. Watoto wangapi walilelewa bila baba zao na they did just fine? Obama kalelewa na baba wa kambo! Wengine tunao wajua na tusio wajua wanalelewa na mama zao tu and they do well. Ni wewe tu kuamua.
Nimalize kwa kusema it is not easy, maybe una-hope kua ukimtishia kuondoka atastuka na kukuoa, instead of kukupoteza but think about this: tayari mnaishi kama mtu na mume wake, what will that ring change? Hisia zako, kuchelewa kwake kurudi na mengine ni mchanga tayari, ndoa haito badili those things.
Kama unaweza, fanya maamuzi magumu, endelea na maisha yako. akikupenda aje kwenu, akuoe, na muanze maisha mapya (but usiwekei sana focus huku, be independant kwanza)
Sasa umeshasema sometimes anarudi asubuhi hiyo ni dhahiri huyo mtu anamwanamke/wanawake wengine, hebu shtuka mapema kabla hajakuongezea tatizo lingine la UKIMWI!!
Hakuna Baba hapo kuna mwanaume mwenye uwezo wa kumpa mimba mwanamke lakini hastahili kabisa kupewa hadhi ya kuitwa Baba. Pole sana kwa yaliyokukuta anza taratibu za kujitafutia sehemu yako haraka iwezekenavyo na wala usibadili mawazo yako maana umeshampa nafasi chungu nzima za kujirekebisha lakini ameshindwa kuzitumia.