emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 477
Ahsante mkuu, nitakuambia ili unipatie maujanja zaidiHakuna biashara isiyo lipa indapo uta tazamia maitaji ya eneo usika.. Na katika biashara ili ifanikiwe wewe Kama muhusika mkuu unatakiwa uwe Kama msimamizi tu, sio Kama ndio mwenye duka. Duka litakua ni la wahitaji
Kumbuka ili biashara ifanikiwe Kuna mambo mawili
1 uache mazingira na jamii ikuchagulie aina ya biashara ya kufanya. Ukicheza vizuri katika hili amini nakuambia wafanya biashara karibu wote wata lalamia biashara ngumu huku wewe una tabasam
2 Uwe na wazo lako au aina ya biashara unayo taka. Na uhakikishe unapata eneo ambalo ni rafiki na aina ya biashara utakayo iweka.
Sasa hapa uwa kuna ugum kidogo. Ukikose kidogo tu utakua msindikizaji katika nyanja za kibiashara. Utafanya biashara miaka mingi ukifukzia pesa ya kula na pango..
Mimi nitakushauri aina ya biashara endapo umesha pata frem na ukanitajia mazingira husika ya eneo Hilo
AU
Uchague aina ya biashara na nikushauri mazingira rafiki ambayo yana mchango mkubwa katika kukua kibiashara
Habari wana Ndugu,
Tunatofautiana ufahamu, ulipoishia wewe kufikiri ndio mwanzo wa mwingine. Hizi idea tano nimezifanyia zote uchunguzi kwa kiasi na nimepata ufahamu wa hizi ideas kwa kadri ya uwezo wangu.
Nina Tsh 14 million (hapo nishatoa gharama za kodi ya frem, urekebishaji wa frem, usafiri wa mzigo, Tax clearance, akiba ya kuishi siku kazaa, n.k), Location ni jijini Mwanza urban.
Kwa kutumia uzoefu wenu na uchambuzi wa biashara mgenishauri niinvest katika idea ipi kati ya hizo hapo chini. Biashara itakayo nipa return ya uhakika wa kuendesha life yangu.
IDEAS ZILIZOPATA:
1: Aina zote za Vipodozi na Urembo tofauti tofauti (wigs, weavings, saa za mkononi, etc)
2: Duka maalum linalo deal na aina zote za Vitasa, Komeo na Bawaba tu za milango.
3: Vifaa vya umeme (installation, wiring)
4: Appliances za umeme za majumbani nianze na items kama TV, Radio, Pasi, Blenders, jagi la umeme...
5: Maduka mawili katika location tofauti yanayo deal na uwakala wa pesa mitandao ya simu (V'COM, A'TEL, TIGO...) na banks za CRDB, NMB.
6: Pazia za kisasa, sheers, mazulia ya sakafu, mazulia ya mlangoni (door rugs), bomba za pazia na fittings zake, mashuka special (set), nets, blankets
Pia kama unayo idea nyingine inayoendana na huo mtaji wangu, nitashukuru ukinisaidia hiyo idea.
No 1 na 5 weka pamoja angalia sehemu yenye mzungukoHabari wana Ndugu,