Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
- Thread starter
-
- #21
Kwanza pole sana ndugu kwa hilo. Kuna wimbi la utoaji mimba limetanda kwa hawa dada zetu bila kujali litawagharimu vip. Binafsi nilishuhudia binti kapoteza maisha kwa isue kama hizi pia kuna matatizo lukuki yanayoambatana na utoaji mimba kama kutoshika mimba tena, kudhorota afya n.k. wataalam watajitokeza mda. Nakushauri:
Mosi, utoaji mimba ni dhambi na ukatili wa ajabu pia ni makosa kisheria, hivyo mwogopeni Mungu na mtii sheria za nchi.
Pili, mshauri na uoneshe nia ya kumlinda yeye na kichanga kwa ufupi awe ur future wife ili mtoto apate haki zake.
Tatu, uwe tayaei kwenda kwao kujitambulisha ili kuondoa tofauti na wazazi wake kwa mjibu wa mila na destuli za kwao.
Akiwa mbishi'''mwaga unga na achana nae kabisa pia umwogope kwa kutambua kama anadhuru kichanga damu yake je wewe utakayeishi nae kama mke na mme itakuwaje?
Tafakari...chukua hatua!
umeamua vema hebu mhakikishie pia hata kama hatamaliza chuo utamsomesha mwenyewe nafikiri atakuelewa.
Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.
Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo
.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.
Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.
Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwani anasoma bado (college) na anaogopa wazazi watasemaje.
Mimi sitaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nina wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.
Mkiambiwa acheni uzinzi/uasherati mnatoa puvu,akimwaga damu itamlilia daima aache mchezo huo,na wewe oa acha kuharibu watoto wa watu je angekuwa binti yako ungefurahi.....apandacho mtu ndicho atavuna.
Mkuu asante kwa kuandika ya moyoni kwangu...
Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.
Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo
.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.
Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.
Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwani anasoma bado (college) na anaogopa wazazi watasemaje.
Mimi sitaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nina wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.
Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.
Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo
.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.
Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.
Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwani anasoma bado (college) na anaogopa wazazi watasemaje.
Mimi sitaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nina wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.
Mkuu kwani shida yote hiyo ya nini ivi matangazo ya Condom wewe huyaoni mpaka kwenye vituo vya dala dala?Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.
Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo
.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.
Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.
Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwani anasoma bado (college) na anaogopa wazazi watasemaje.
Mimi sitaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nina wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.
Mkuu kwani shida yote hiyo ya nini ivi matangazo ya Condom wewe huyaoni mpaka kwenye vituo vya dala dala?
sasa kama umeweza kumshawishi mkafanya bila kinga na sidhani kama hilo lakuweka mimba litakua shida,na sio umwambie aiweke tuu usimamie majukumu yako mpaka kipindi cha kubadili Pampers usiku maziwa usiwe baba jina tuuu..