Ni marafiki wa kitamboKwahyo wewe ni mpangaj mwenzie au Kaka jirani
Umesomeka mkuuMwambie arudi nyumbani akaombe msamaha wazazi wake
Kuna mdada kanijia adubuhi anataka ushauri eti kunajamaa alimuahidi mtaji miezi mitano iliyopita akamwambia atampa mil moja na nusu baadae akamwambia atamfungulia duka kwa madai yake anauwezo mkubwa tu, baadae akamwambie aage hm anaenda kupanga ili ajisogeze kwa mshkaji demu akakubali, tangu aahamie kwa mshkaji ni mwezi sasa, walienda shopping dem akanunuliwa mafuta bahati mbaya yamemtoa rashez akamwambia jamaa mafuta hayanifai nataka mengine jamaa akachomoa lingine kamuomba hela ya saloon wiki ya pili sasa jamaa kachomoa tena!! Kaja kuniomba ushauri hapo kuna duka kweli au analiwa tuuu???? Njmemwambia anipe muda ni tafakari ntampa jb njooni mtoe ya moyoni kuhusu kijanga hiki
mkuu ,unawezaje kuandka kwa rangiihuyo dada kuna nati za ubongo zitakua zimelegea.
mkuu ,unawezaje kuandka kwa rangii
naomba nieleze ww mkuu tafazaliKuna uzi sehemu nakutag ukajifunze kwa uhuru kule
naomba nieleze ww mkuu tafazali
achana nae huyo eb toa ushauri kuna dalili ya duka hapo [emoji23] nimecheka sana hao ndio wanaume alikua anataka kujipatia papuchi ya bure tuKwahyo wewe ni mpangaj mwenzie au Kaka jirani
Ha hah na huyo dada nae ndez anahamaje kwao kisa ahad ya duka kwan angekaa kwao duka lisingefunguliwaachana nae huyo eb toa ushauri kuna dalili ya duka hapo [emoji23] nimecheka sana hao ndio wanaume alikua anataka kujipatia papuchi ya bure tu