Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
- Thread starter
-
- #21
Fungeni.
Mkihairosha mtajikuta mnaishi miaka 16 hamajafunga.
Achague nguo nzuri itakayositiri tumbo vizuri.
Asivae hills atafute sandals nzuri unique
Asisimame saaana
Habari wadau,
Naombeni kupewa ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye ninategemea kufunga ndoa siku za usoni. Bahati nzuri au mbaya ana ujauzito na kwa mipango na taratibu nilizoziweka katika kukamilisha zoezi la harusi mimba itakuwa na miezi 7. Naomba kushauriwa, inawezekana kufunga hiyo ndoa akiwa na mimba ya umri huo? Au niahirishe mpaka ajifungue then ndio tufanye hilo zoezi.
Naomba ushauri wenu.
Ukihahirisha usije kujuta, maisha ya mkiwa wawili mlivyo sasa ni tofauti na mtoto akiingia. Kama unampenda awe mkeo funga ndoa...sababu changamoto za kule, kukaa macho usiku, kuviziana nani ataamka kumbembeleza mtoto, akitaka kupumzika mchana au usiku kwa uchovu n.k... Kwa mengine pia matumizi ya pesa mnazopata ubadili pia na hii ni moja ya majanga kwa wengi haswa katika kuzoea kupanga ya kulea mtoto na mahitaji yake n.k
Acha tu utajikuta humtaki na kudsi kabadilila tabia, au yeye atakukataaa...wengi ni testi kubwa sana..mkiwa kwente ndoa rahisi kuyapita kuliko mkiwa hamjaoana...
Kuna mengi katika mahusiano, lolote utakalo amua kumbuka kuomba upate uongozi wake.
hhahahaahaha eti na uchungu juuUtakuwa mgeni huku duniani wewe. Wenzako wanamaliza harusi na uchungu juu.
Zipo ndoa za ivyo inategemea na kanisa unalofungishwa ndoa..... Ila miezi saba mmhh utakua umechoka sana according to my experience....Lakin hiv kuna ndoa za stahili hyo znafanyika? Kwamba ndoa zenye mdada mwenye mimba kubwa kiasi hicho au mie ndie itakuwa ya kwanza?