Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Mmh bwana muache tuu kwanza ajifungue..... Kwanza mimba ya umri huo atakua amechoka sana na pia huko mbeleni anaweza asifurahie pia kkuangalia picha za harusi yake maana watu wengine wakati wa ujauzito swanakua tofauti uso mara umevimba pua cjui imekaaje..... ptuuuu muache tu ajifungue kwanza then apumzike kidogo mambo yaendelee
Utakuwa mgeni huku duniani wewe. Wenzako wanamaliza harusi na uchungu juu.Lakin hiv kuna ndoa za stahili hyo znafanyika? Kwamba ndoa zenye mdada mwenye mimba kubwa kiasi hicho au mie ndie itakuwa ya kwanza?
akitoka honeymoon, likizo ya uzazi timing nzuri mkuuHabari wadau,
Naombeni kupewa ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye ninategemea kufunga ndoa siku za usoni. Bahati nzuri au mbaya ana ujauzito na kwa mipango na taratibu nilizoziweka katika kukamilisha zoezi la harusi mimba itakuwa na miezi 7. Naomba kushauriwa, inawezekana kufunga hiyo ndoa akiwa na mimba ya umri huo? Au niahirishe mpaka ajifungue then ndio tufanye hilo zoezi.
Naomba ushauri wenu.
Fungeni.
Mkihairosha mtajikuta mnaishi miaka 16 hamajafunga.
Achague nguo nzuri itakayositiri tumbo vizuri.
Asivae hills atafute sandals nzuri unique
Asisimame saaana
Hamna [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama umeongea kitu familiar vile
Shida Ni kwamba akisha jifungua process za kufunga ndoa zina kosaga hamasa..
my bro alisemaga ivo mke akitoka Tu uzazi tunafunga ndoa hadi Leo mtoto Ana mwaka hamna cha ndoa .km inawezekana fungeni Tu bila kufanya sharehe..mje mfanye party badae km inaumuhimu kivile