Ushauri: Clouds 360 morning

Habari na utani kidogo ndio habari ya mjini angalia clouds 360, BBC swahili na Azam news hizi ndio taarifa Sio mtu anakukunjia sura mwanzo mwisho🙁😡
 
Hahahahahaaa anajiita popoma DuppyConqueror ....
Daaaah umenikumbusha mbali sana enzi ya uchaguzi.
Ila ujue nini?Hata DuppyConqueror ni mtu poa,apart from upopoma wake wa Lumumba namkubali na kumpenda sana,ana roho nzuri,yuko smart (upstair) basi tu.
Halafu ujue huyu alikuwa CDM hapo kabla ila aliamua kufuata nyayo za usaliti za yule babu mzinzi.
 
Hahaha bora tu kipindi cha uchaguzi sio zaidi ya miezi miwili maana ingekua zaidi ya hapo walahi Jamii Forum ingefungiwa maana ni mwendo wa Mitusi tu ,ni kweli Duppy yuko smart sema ndio hivyo ,dhambi ya usaliti ni mbaya ,Ccm sijui wanawalisha nyama za watu hawa viumbe ?
 
hahaha sawasawa hudson kamoga umeeleza vzuri nakupa like mkuu
Mimi huwa nachelewa kwenda kwenye mihangaiko yangu kwa hichi kipindi cha clouds 360 , Kipo funny sana....!!!!
 
Clouds hii ndo tunayoitaka, wanaongeaga pumba na vichekesho sometimes! Kweli mtu ukitaka habari nyingi wee jitose itv au tbc, huku watuache sisi.
Mi binafsi nakipenda hiki kipindi, simple ila meaeji inafika fresh kabisa.
 
Mmhhhh!!!! Kwaresmaaaaa??!!
 
Clouds ni kwa ajili ya vijana, wapenda utani na mizaha, huku wakipata habari...
 
it is realy boring.kama ninamuda huwa naweka cctv/russia today/bbc.
-they act too childlish.
 
Huyu atakua ni Mmoja Wa Muhusika Hapi studio za Clouds ... verry happy Ujumbe wangu kuwafikia moja kwa moja ..hope mtafanyia kazi .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…