Ushauri: Chumbani kwa mke wangu na mchepuko

  • Thread starter Thread starter guest-1791802738
  • Start date Start date
Tunasubiri Uzi wa "Mke wang anatak tuachane "
Af tutajua kimada wako anajuaje kujificha 😂
 
Kwa akili hizi ndo maana hata hela ya lodge huna inawezekana hata hiyo nyumba Kodi analipa mke wako
 
Huna ndoa wewe na kama kweli una ndoa basi huna akili maana hata uandishi unaonyesha level yako ya uelewa wa mambo
 
Namuonea huruma mke wako
Na mchepuko wako yan kiufupi nawaonea huruma wote pamoja na wewe….
 
Kitendo cha kurudia kupiga mara ya pili huo mchepuko umefeli sana mkuu , piga mara moja sio lazma aridhike rizika wewe tu tembea si una mke mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…