Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Labda hutaki kutekeleza maono ya Marehemu Chacha Wangwe kwa udhaifu kisiasa lakini kwa hali ilipofika ni bora utekeleze mikakati ya chama kwa kufungua ofisi mashinani kuliko kukomaa matawi ya mitandaoni kwa sababu zifuatazo.
Wengi wa vijana uliowaajiri kwenye mitandao badala ya kutangaza taswira ya chama wamejikita kutoa matusi na dua mbaya kwa taifa.
Wengi wanatafuta umaarufu binafsi kuliko wa chama,wametumia majukwaa kufanya biashara ya fulana kwa kampeni zisizo na kuchwa wala miguu.Mfano waliuza za ukuta,ukamomonyoka,wameuza za katafunua matokeo yale wamebingilika wenyewe kwa kujiteka na sasa wametapeli watu kwa kuuza fulana za [HASHTAG]#MboweMleteBenAkiwaHai[/HASHTAG]..kampeni hii imezua tafrani imekidhalilisha chadema na mwenyekiti wake.
Ushauri tu ni bora kwenda mashinani kuliko mitandaoni.