Ushauri: CHADEMA ibadili ofisa habari

Ushauri: CHADEMA ibadili ofisa habari

Kabwena

Senior Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
103
Reaction score
55
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema hakina budi kumuondoa ofisa habari ndugu Tumaini Makene ili kumeweka mtu anayeimudu zaidi nafasi hiyo.

Kama kuna mtu yoyote ambaye ni mwandishi wa habari atakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa ni mzigo ambao unakiharibia cha kadri muda unavyokwenda.

Mfano mzuri ni hii leo alipowatumia sms waandishi wote wa habari kuwa wafike eneo la Ngome, Kawe yalipo makao makuu ya UKAWA ili waweze kupanda gari la waandishi na kuungana na msafara wa ndugu Edward Lowassa kuelekea katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Tanganyika packers.

Hata hivyo mpaka msafara wa Lowassa unaondoka wandishi walibaki wameduwaa tu kwani hapakuwepo na hiyo gari ya waandishi.

Kutokuwepo kwa gari ya waandishi si tatizo lakini kuwatumia sms watoke ofisini mwao waende nje kidogo ya mji ili wapande gari iliyo kwenye msafara ni tatizo.

Ajabu zaidi Makene aliwakimbia wandishi na kutowaeleza hatima ya wao kuufuata usafiri, wengine walipelekwa mpaka Ngome Kawe na gari za media zao na zikawaacha zikiamini wapo kwenye mikono ya Chadema.

Makene akawakimbia waandishi ambao aliwaita yeye mwenyewe na kusababisha waanze kumsaka na matokeo yake wengi walikata tamaa na kuachana na kuripoti mikutano ya Lowassa ya Temeke na Segerea na kulazimika kusubiri mkutano wa jioni Kawe.

Hii si mara ya kwanza mtu huyu siku tano zilizopita aliwatumia sms waandishi kuwa kuna Press ya UKAWA huko Kawe beach walipoenda walikuta empty, wanapiga simu hapokei huyu mtu anasababisha chama kigombane na kuchukiwa na wanahabari kutokana na uzembe wake.

Tunajua huenda press ilihairishwa kwa dharura lakini kwani hakuwataarifu waandishi waliokaa kwa masaa manne wakiisubiri huku wakipiga simu hapokei mpaka wakaamua kuondoka wenyewe, hata walipoondoka kwanini hakuwaomba radhi?.

Makene ni mzigo kwenye idara yake.
 
yawezekana alipata sms ya Yericko Nyerere, ..mambo ya intelligency nanini you never know.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bhana......dakika za kukaribia ushindi unatuletea tuhuma za hivyo.....

Bahasha vipi.....maana ukawa hawatoi hicho kitu...ktk harakati za ukombozi ni vizuri kuchanga haijarishi ni muda, pesa, mawazo...coverage ya habari bila malipo.....wanaukombozi wote wanalijua hilo...
 
Makene yupo kimya sana.

Press conference anazotakiwa atoe yeye anafanya Mnyika au Mbatia.

Kazi yake inaishia Chadema au inaenda hadi Ukawa?
 
Labda kazi zimemzidi kipindi hiki cha kipekee nadhani aongezewe mtu/msaidizi
 
Hata mimi ningewakimbia tu kwa mafuriko yale hapakuwa na namna zaidi ya kuwakimbia tu.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema hakina budi kumuondoa ofisa habari ndugu Tumaini Makene ili kumeweka mtu anayeimudu zaidi nafasi hiyo.

Kama kuna mtu yoyote ambaye ni mwandishi wa habari atakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa ni mzigo ambao unakiharibia cha kadri muda unavyokwenda.

Mfano mzuri ni hii leo alipowatumia sms waandishi wote wa habari kuwa wafike eneo la Ngome, Kawe yalipo makao makuu ya UKAWA ili waweze kupanda gari la waandishi na kuungana na msafara wa ndugu Edward Lowassa kuelekea katika majimbo ya Temeke, Segerea, Ubungo na Tanganyika packers.

Hata hivyo mpaka msafara wa Lowassa unaondoka wandishi walibaki wameduwaa tu kwani hapakuwepo na hiyo gari ya waandishi.

Kutokuwepo kwa gari ya waandishi si tatizo lakini kuwatumia sms watoke ofisini mwao waende nje kidogo ya mji ili wapande gari iliyo kwenye msafara ni tatizo.

Ajabu zaidi Makene aliwakimbia wandishi na kutowaeleza hatima ya wao kuufuata usafiri, wengine walipelekwa mpaka Ngome Kawe na gari za media zao na zikawaacha zikiamini wapo kwenye mikono ya Chadema.

Makene akawakimbia waandishi ambao aliwaita yeye mwenyewe na kusababisha waanze kumsaka na matokeo yake wengi walikata tamaa na kuachana na kuripoti mikutano ya Lowassa ya Temeke na Segerea na kulazimika kusubiri mkutano wa jioni Kawe.

Hii si mara ya kwanza mtu huyu siku tano zilizopita aliwatumia sms waandishi kuwa kuna Press ya UKAWA huko Kawe beach walipoenda walikuta empty, wanapiga simu hapokei huyu mtu anasababisha chama kigombane na kuchukiwa na wanahabari kutokana na uzembe wake.

Tunajua huenda press ilihairishwa kwa dharura lakini kwani hakuwataarifu waandishi waliokaa kwa masaa manne wakiisubiri huku wakipiga simu hapokei mpaka wakaamua kuondoka wenyewe, hata walipoondoka kwanini hakuwaomba radhi?.

Makene ni mzigo kwenye idara yake.
afisa habari wa CCM ni nani?
 
Mkuu,
Wewe ndiyo unaonekana ni mzigo, CHADEMA kama taasisi tunamwamini Tumaini Makene

Pole sana kwa kukosa usafiri, 100% wamefanya coverage vizuri so usafiri haukuwa tatizo mkuu.

Una wivu binafsi na makanda wetu mpambanaji.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo bhana......dakika za kukaribia ushindi unatuletea tuhuma za hivyo.....

Bahasha vipi.....maana ukawa hawatoi hicho kitu...ktk harakati za ukombozi ni vizuri kuchanga haijarishi ni muda, pesa, mawazo...coverage ya habari bila malipo.....wanaukombozi wote wanalijua hilo...

Kama Ni Kweli, Makene Aondolewe, Nyakati Kama Hizi Waandishi Wa Habari Ni Wa Kuwanyenyekea Na Siyo Kugombana Nao, Wanaweza Wakasusa Kuandika Habari Za Chama Chako.
 
kama hawatoandika na sisi hatutofatilia habari zao za magazeti wanazoandika, wala kusikiliza redio au kuangalia tv wanazotoa habari zao!
 
Mkataba wa Makene unaishia CHAGADEMA na sio UKIWA..

Hakupewa mgao wa Luwasa ndio maana kakaa kimya...
 
Mkuu,
Wewe ndiyo unaonekana ni mzigo, CHADEMA kama taasisi tunamwamini Tumaini Makene

Pole sana kwa kukosa usafiri, 100% wamefanya coverage vizuri so usafiri haukuwa tatizo mkuu.

Una wivu binafsi na makanda wetu mpambanaji.
Mr. Ntobi. Kwa nini unampiga vita mtu ambaye anatuchallenge ili tuimarike? Sijui kama Janjaweed ana agenda yake tofauti lakini ninachoona ni kwamba ana challenge chama chetu kijiimarishe kwenye eneo ambalo ni muhimu kwa hapa tulipofikia sasa hivi. Kama una uhakika anadanganya na Makene hakuwakaribisha hao waandishi na kuwa abandon then sema hivyo lakini usimpige vita kwa sababu ametutaka tupige darubini sehemu yenye potential ya kuangusha chama. Issue kama hii lazima ifanyiwe review na viongozi wahusika hasa wakati ambao kupeleka information kwa raia ni critical.
 
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene jirekebishe kwenye utendaji wake, sasa hivi tunataka kasi na viwango vya juu katika utendaji wako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom