Ushauri: Bora Rais ange-mute kwanza kumtumbuwa Makalla maana amewasha moto

Mku ulichokiandika ni kweli kabisa kwa mwanaccm anayaona yanayoendelea ndani hawezi kubisha ulichokiandika.
Mku kundi ambalo liko nje sio la kubeza kwani ni kubwa alafu lina hoja za kutosha za kusimamia na kusimama nazo ndani ya chama na zikamsumbua mku kwani usiwaone Katibu wangu Bashuri na Polepole hawaongelei swala la CAG na hali ya uchumi wa nchi uliko na ulikokuwa kabla Mku hajakabidhiwa Nchi ni kwa kuwa chama sasa hivi kina pande mbili na hawa viongozi kuliona hili wanaona aibu kuliongelea kwani hili kundi ndio hoja zao kubwa
 
Kwenye ccm hakuna alie mkubwa kuliko chama.Wewe ulijua kama lowassa atakatwa?
Aliekwambia nafasi ya ukoo wa mkoa ni ya kudumu ni nani?
 
Nchi haiwezi kuendeshwa kama Tamthilia ya Sultan .
 
Hawa ni baadhi tu ya wale waliomo kwenye kundi la Champions of Change ambalo linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa na lina watu mahiri sana ambao wameamua kupinga udikteta na maovu chungu nzima yanayofanywa na huyo nduli na vipuppets vyake.

Wao wako na Lissu, Mdude, Fatma Karume etc.. ndio vipaumbele vyao.
 
Naona unampigia kampeni makala ili apewe kazi nyingine kwa kumtisha Mwenyekiti wa chama
 
Kwani we hupendi hiyo hali ikitokea let it be
 
"Magufuli ruling party" in the making.

Siku "ccm asilia" mtakaposhtuka itakuwa too late. Or maybe it already is too late.
 
jiwe asiposifiwa kwenye hotuba umekwisha yaani ni sawa na uanze sala bila kusema "bwana Yesu asifiwe" .

pili, hivyo vitambulishoni mapato ya serikali ndio wanaongezea kununulia wabunge na madiwani maana naskia mpaka leo Mollel wa Siha hajalipwa hela yake, alipewa bilioni 1 tu na anadai nyingi tu na nyumba moja kapewa mbezi beach
 
Fisiemu ni watu wengine kabsa,wanaweza farakana lakini baadae wanakuwa kitu kimoja tena kwa mshikamano ambao huwez hutarajia,hiki chama kitatuongoza mpaka mwisho Wa dunia
 
Imani gain tena? Nilipoteza imani kwa magu tangu aliposhindwa kumtumbua bashite kwa vyeti feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…