Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
yes,hatutaki vizazi vyetu vijavyo wapitie bomoa bomoa,
sio kurudia rudia na bomoa bomoa zenu,
fanyeni once and for all,
na nyie mnaojenga mafly over ,jengeni kwa uimara hatutaki maafa,
Na pia mzingatie miundo mbinu,kuwa mji kama Dar,inakua daily,sio baada ya miaka 20 tunakosa hata pa kupumua,wala kupita,
zingazitieni expansion joint,
Mbona kwa wenzetu,hakuna kuvunjika kwa daraja,mabarabara yamejengwa tangu Enzi za mkoloni???,