Habari humu ndani nimenunua asali ya nyuki wakubwa toka TABORA dumu la Lita 20 kwa laki moja na arobaini ninaomba formula ya kupata bei ya kuuzia please nasubiri..
Ninaomba mnisaidie kanuni yakupata being ya kuuzia.peleka mwanza soko lipo, angalizo hakikisha una vibari
Vibali gani vinahitajika wazeepeleka mwanza soko lipo, angalizo hakikisha una vibari