Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi
yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na
Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni
kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sakramenti
haitakupa chochote...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo
Sasa ukiwa huna ushirikiano kunakuwa hamna stareheMapenzi ni starehe sio mashindano...
Toka lini ukasikia yameingia kwenye ligi kuu kuwania kombe?
Patience123 inaelekea Game yako ni weak sana...Mapenzi ni starehe sio mashindano...
Toka lini ukasikia yameingia kwenye ligi kuu kuwania kombe?
Lesson hapa ahimize ushirikiano but sio ufanye mapezi kama ligi ya mpira. Ukukurukeee eti um win mwanaume, eishhh..!!Sasa ukiwa huna ushirikiano kunakuwa hamna starehe
HeheheheLesson hapa ahimize ushirikiano but sio ufanye mapezi kama ligi ya mpira. Ukukurukeee eti um win mwanaume, eishhh..!!
Sio weak...Patience123 inaelekea Game yako ni weak sana...
Kwa mpango aisee,sio kugawanywa nyonga kisa "asiniache"Hehehehe
Ww hukukuruki?!
Huogopi kuachwa?!Kwa mpango aisee,sio kugawanywa nyonga kisa "asiniache"
Mweee..!!
Mkwara tembo matokeo sisimizi...Sio weak...
I do for pleasure..
Sio nikukurukeeeeee eti ili mwanaume asiniache.
Unaweza ukukuruke,utoe na visivyotolewa na kuchwa uachwe..
Mna jema kwani?
Wenye Jina "prosper" Mara nyingi Ni pastors.Truee