ushauri baada ya kuhama chuo

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,865
Wadau Leo nimemsaidia mdogo wangu kuhama Chuo kupitia cas. Alikuwa teku sasa amehamishiwa st Augustine mwanza. Kwenye profile status yake kashawekewa transfered. Sasa akienda mwanza anaweza kufanya usajili au kuna kitu inabidi asubiri?
 
ni vema kupiga namba hii 0222772657 kuongea na tcu makao makuu kwa maelezo sahihi na ya uhakika. piga mda wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…