Azam Tv hivi sasa ni moja ya tv ya kisasa kabisa ambayo imezipita tv nyingi hapa nchini kwa ubora.Lakini pamoja na sifa hii kasoro nazo katika kila jema hua hazikosekani.
Moja ya kosa kubwa linalotesa wadau wa tv hii nI pale unapotafuta station au chaneli ya kuangalia kutoka kwenye orodha ya chaneli zilipangwa kwenye tv.Ule mstari wa cursor una rangi ya blue sawa na rangi ya background ya tv.
Unapotembeza cursor haionyeshi vizuri imemark kwenye chsneli gani.Wenye poor vision hakika atapoteza muda mwingi kupata chaneli anayotaka.Mimi nawashauri wabadilshe waweke mstari mweupe au mwekundu unaoonekana kwa urahisi na kila mtu.
Jambo hili linawatesa wengi sana pengine hata boss mwenyewe hawezi kufungua tv peke yake hadi afunguliwe na watu wengine wenye macho makali.