Ushauri au Matibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri au Matibabu

Discussion in 'JF Doctor' started by shin, Jul 6, 2012.

 1. s

  shin Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S cry: Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia pumzi siku ya leo. dr. ninatatizo linanisumbua nimehangaika sana sasa najaribu kulileta kwako. Dk. mimi ni mweupe wa asili ila tatizo langu ni kwamba uso wangu nimepata alama nyeusi juu ya paji la uso kwenye mashavu na alama hizi nilizipata niliposhika ujauzito wa mtoto hadi leo zinisumbua wkati mwingine zinafifia lakin nikiwa katika siku zangu za mwezi zinakolea kama umewahi kuwaona watu wa kabila la warangi wana alama fulani lakini mimisio mrangi. Nimeenda mpaka kwa docta wa ngozi akaniambia hii inatokea sana kwa watu weupe wanaathirika na mionzi ya jua kwa kua ngozi zao ni lain akaniambia nipake sunblock itaisha mara nipake sonaderm itanisaidia. lakin naona napaka vitu ving zinzondoka halaf inafika kipindi zinarud tana. naomba ushauri wako.​
   
 2. REX

  REX JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ok! Pole sana ndugu! Mi nipo kcmc! Nafikiri naweza kukusaidia.nitumie pm vitu vyote ulivyotumia.
   
 3. s

  shin Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :help: Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu kumbu ila baadhi kama. Mara nyingi nanunua farmasi vichub nakutajia ninavyovikumbuka sonaderm cream, safi cream, persol Gel 5.0, Gold tach cream, Malaika kutoka USA, na vingine ving ambavyo hata majina siyakumbuki. Si unajua unaweza kununua halafu unapaka ukiona hakuna mafanikio unaacha, unajaribu tana kingine ukiona hakifai unaacha. Mwisho ndo nimeenda kwa docta nikihisi mybe ni aleji kwa sababu kwa nini nikiingia katika hedhi zinakolea, wakati mwingine zinaisha halafu zinarudi tena.

  nitashukur kwa msaada utakaonipa.

  Natanguliza shukran zang za dhati
   
 4. s

  shin Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :help:Nashukuru Mkuu kwa msaada wako, lakin inaniwia ngumu kukumbuka vitu vyote nilivyotumia kwan ni muda mrefu tang nimeathirika na tatizo hili. Nina miaka mitano na unajua reception inapokua mbaya unahangaika kuiweka sawa, mara huyu anakuambia jaribu hiki. so nimepitia ving na sina kumbu kumbu ila baadhi kama. Mara nyingi nanunua farmasi vichub nakutajia ninavyovikumbuka sonaderm cream, safi cream, persol Gel 5.0, Gold tach cream, Malaika kutoka USA, na vingine ving ambavyo hata majina siyakumbuki. Si unajua unaweza kununua halafu unapaka ukiona hakuna mafanikio unaacha, unajaribu tana kingine ukiona hakifai unaacha. Mwisho ndo nimeenda kwa docta nikihisi mybe ni aleji kwa sababu kwa nini nikiingia katika hedhi zinakolea, wakati mwingine zinaisha halafu zinarudi tena.

  nitashukur kwa msaada utakaonipa.

  Natanguliza shukran zang za dhati
   
 5. REX

  REX JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ok! Tatizo lako ni kwa sababu ya mabadiliko ya homon ndan kwenye mwil wako na siyo allergy unakuwa na kiwango kikubwa cha androgens zinazosababisha uwepo vya hivyo vipele.acne inatokea kama ifuatavyo
  unapokuwa na mwil wenye mafuta mengi particularly usoni,kifuan na sehem ya juu ya mgongo hayo mafuta huziba vinyweleo na kuzuia uchaf usitoke kwenye ngoz.huu uchaf (excessively accumulated sebum) inakuwa na mazingira ya bacteria hasa aina ya propionobacteria acne kukua na inasababisa inflammatory reactions then vidonda na vipele vinaaza kutokea! Kipind unapoingia kwenye hedh androgens zikipanda particularly progesterone ndo zinaongeza rate of excretion of sebum and clogging of pores so the situation worsens,unaweza kujiuliza mbona wanawake wote wana hedh kwa nin ikutokee wewe? Jib ni kwamba hili tatizo linajitokeza tu kwa wenye hormonal imbalance, ktk kipind cha rapid growth kama adolescent tatizo hili huwa kubwa sana kwa sababu ya excessive sebum production and soon the body adapts bt to few people they persist na wengine vinajitokeza kipindi cha ujauzito tu,
  ukitaka kuthibitisha kama ni sababu ya hormonal imbalance unaweza kutumia combined oral contraceptives na matibab yake ni kubalance hormones,pia unaweza kutumia antibiotics kuua hawa bacteria kama doxcy,azithromycin na vitamin A analogues kama tretinoin! Usitumie cream maana nying ya hizo cream zina steroid na hazitasaidia,naweza kukusaidia in a more natural way lakin gharama yake ni kubwa kidogo.pole sana dada yangu
   
 6. s

  shin Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Mkuu lakini kumbuka mimi sina kipele hata kimoja ila ni alama nyeusi na si kwamba labda ni chunus halafu zinaacha alama la hasha! ni kama vile mtu aliyeungua na jua au nilikutolea mfano kama unafaham kabila la warangi ndo huwa wanapata alama hizo kwenye mashavu. maelezo yako nimeyapata na yameniingia ila ili niweze kupata msaada zaid kama ambavyo umewahi kusema, na labda ili iwe rahis zaid Nitumie sms katika namba hii 0762973706 halafu mimi nitakupigia kwa maelezo zaid au nibeep samahani kwa usumbuf na pia usichoke kunipa msaada wako.
   
 7. s

  shin Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je nikiacha kutumia hivyo vichub naona alama ninazidi kuiva labda unipe ushauri nitumie nini ambacho kitaendana na ngozi yang kama ambavyo nimewahi kusema awali mimi ni mweupe wa asili mkuu.
   
 8. s

  shin Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini mbona hizi antibiotics nazitumia sana Amoxillin, Ampiclin, au ulizoniamia ni tofauti na hizi na nikitimia nitumie kipimo gani dz au nusu doz .
   
 9. REX

  REX JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa umeweka namba yako ya sim tutawasiliana na maswal yako yatajibiwa!
   
Loading...