Mtu wako hayuko Stable Academically hivyo kama Mdau wa Elimu na Saikolojia nakushauri mpeleke katika Vocational Institutions ili akapate Ujuzi zaidi wa Kivitendo kwa Fani yoyote.Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Mpeleke VETA
Mechanical
Electrical
Then arudie paper la
Phy
Chem
Mathe
Atafute angalau D awe engineer hata kwa cheo tu
Hotel management au Information Technology ama TourismHabari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Cbe kutamfaaHabari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Swadakta unajua ukiitwa engineer au Dr hata hauna kazi unajisikia burudani na unapata cofindensi ya kufanya kazi zingine kama kuuza mitumbaWapo wa cheo tu.Yaani ma Engineer lakini wanauza magodoro.