Ushauri: Anatembea na mke wangu, nimegundua na ananitishia maisha

273

Member
Sep 12, 2017
63
82
Wasalaam wakuu,

Kimsingi kabisa mimi ni mgeni hapa JF. Nina jambo linalonsumbua sana na ninaomba ushauri wenu wa kina, kebehi sihitaji.

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, miezi kadhaa iliyopita nilibahatika kukutana na binti mmoja kwakweli ni mrembo sana, tulizoeana haraka kiasi kwamba ndani ya mwezi mmoja akawa ashakua mpenzi wangu na kanasa mimba yangu.

Binti huyu alikua anakaa kwa ndgu yake, hivyo kutokana na kuoata ujauzito akafukuzwa na kutakiwa kuja kuishi na mimi nimlee ili akijifungua nimlee mtoto pia. Basi nilimkubalia aje tubanane kwenye chumba changu kimoja japo kinajitosheleza, na maisha na mrembo huyu yakaanza japo kulikua hakuna changamoto kubwa ya kiuchumi.

Kilichonpelekea kufungua uzi huu, ni baada ya kugundua kwamba mke wangu anatoka na jamaa mmoja mmiliki wa gym hapa mtaani. Jamaa ni baunsa tuu na anaogopesha kwakweli na mbaya zaidi nikagundua kuwa ashamegewa tunda na mke wangu.

Nlichokifanya nkachukua simu ya mke wangu na kumuonya jamaa huyo vikali ila cha ajabu jamaa ananambia nisimtishe, siwezi kumfanya lolote na mbaya zaidi kanionya kuwa nikijaribu kumtia huyu mwanamke ata kofi tu basi nitamtambua(huyo jamaa baunsa).

Sasa hapa niko dillema, nimrudishe mke wangu kwa ndugu yake, nikashtaki polisi au nikamshataki jamaa katika serikali ya mtaa.

Naombeni ushauri tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlihalalisha Wapi kama huyo ni mkeo? Tengua kauli kama ni mkeo halafu maamaa kama hao mabaunsa huwa mikwara tu hawana lolote ule mwili ni kwa ajiri ya kugongea mademu tu
 
MKUU JARIBU KUMFUMANIA LIVE.HAKUNA BAUNSA MBELE YA KUFUMANIWA LIVE NA CAMERA JUU
Mkuu umesahau lile tukio la jamaa wa chuo aliekwenda mwanza kumfumania mpenz wake badala yake yeye ndio akaambulia kichapo toka kwa jamaa aliyelifumania hadi kupelekea kifo chake
 
Back
Top Bottom