Bonyobonyo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 226
- 235
Wewe uko darasa la ngapi sasa hivi?wakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geologist na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geologist? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake
karibuni kwa ushauri ,maoni, wakuu natanguliza shukran.
ushauri mkuu achn na kukosoa
Wewe uko darasa la ngapi sasa hivi?
Mwambie asome geology ili awe geologist.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah kwa mujib wa comb yake afadhali asome tu geology! ila mkuu ulichapiawakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geology na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geology? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake
karibuni kwa ushauri ,maoni, wakuu natanguliza shukran.
Kwanza title isomeke hivi "ANATAKA KUSOMA GEOLOGY"
Geology ni course ambayo ni pana nafasi za kazi ndo sina uhakika nazo ila kuna sehem/makampuni mengi yanahitaji Geologist katika kazi zao za kila siku mfano:- Oil and Gas Industry, Mining Industry, Hydrology (TMA), na mashirika mengine kama TANESCO, TGDC n.k.
Pili kuna categories za course za Geology
- Engineering Geology;
- BSc. with Geology
- BSc. in Geology;
- Petroleum Geology; and
- Petroleum Geoscience.
Kwa mawazo yangu, katika hizo naona BSc. in Geology ni nzuri zaidi maana unakuwa general hujibani sehem moja.
Wale watalaamu wa haya mambo wanaweza kuongezea ni ipi inamfaa mtu aliyesoma EGM.
Ahsante
Cha ajabu ni ya kwamba hata waliosomea kozi za biashara nao pia wanasota mtaani. Nadhani kuna kiungo muhimu sana kinamiss kwa wahitimu waliowengi, maana haiwezekani mtu asomee degree ya biashara halafu na yeye awe anahangaika na bahasha. Watu wamesomea sales, marketing, business administration nk ila wanamiss ufunguo wa kuwatoa kimaisha hatimaye wanang'ang'ana kutafuta kazi wapate angalau mshahara wa Tsh 500,000/= kwa mwezi.Katika kozi ambazo mtu ataniuliza nimshauri asomee ni za Biashara tu.
Na hili ni janga la taifaCha ajabu ni ya kwamba hata waliosomea kozi za biashara nao pia wanasota mtaani. Nadhani kuna kiungo muhimu sana kinamiss kwa wahitimu waliowengi, maana haiwezekani mtu asomee degree ya biashara halafu na yeye awe anahangaika na bahasha. Watu wamesomea sales, marketing, business administration nk ila wanamiss ufunguo wa kuwatoa kimaisha hatimaye wanang'ang'ana kutafuta kazi wapate angalau mshahara wa Tsh 500,000/= kwa mwezi.
Aliyeturoga atuonee huruma.......
Tayari ulishakuwa na maamuzi yako kichwani kabla hujaleta thread so unachokifanya ni kutafuta amani ya moyo,,, ushauri wangu ni kuwa soma unachopenda na uwe unajua pia jinsi kitakavyokulipa baada ya kumaliza masomo yako.......ufafanuzi murua kabisa usio na swali thnks mkuu
Ninavyofahamu mimi kwa mtu kusomea biashara anakuwa na wigo mpana sana wa ajira, sio kuajiriwa tu ila pia kujiajiri ila kuna kozi ukizisoma wewe swala la kuajiriwa ni kipaumbele. Labda ifikie mahali ujinasue kweli kweli uwe na firm yako binafsi. Tatizo kubwa ambalo nakuja kuliona na umeligusia ndugu ni hapo pa kusoma ukitegemea kuja kusambaza barua za maombi ya kazi.Cha ajabu ni ya kwamba hata waliosomea kozi za biashara nao pia wanasota mtaani. Nadhani kuna kiungo muhimu sana kinamiss kwa wahitimu waliowengi, maana haiwezekani mtu asomee degree ya biashara halafu na yeye awe anahangaika na bahasha. Watu wamesomea sales, marketing, business administration nk ila wanamiss ufunguo wa kuwatoa kimaisha hatimaye wanang'ang'ana kutafuta kazi wapate angalau mshahara wa Tsh 500,000/= kwa mwezi.
Aliyeturoga atuonee huruma.......