Ushauri: Ananiumiza Tukigegedana, Natamani Kumwacha

mweleze tu mzee baba kwamba mchezo anaweza na ww unafurahia ila baada ya mchezo kuna maumivu ya tumbo nk. alafu kwa pamoja mtapata ufumbuzi kama ni tatizo la staili, au kimatibabu mtasolve.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very cheap mtu hajakuoa kila Siku unajipeleka kukunjwa?

Eti najipeleka kha! Ndio maana wanaume wanatudhalau.
Nakuwa napenda dada, ujue nimekaa mpweke muda mrefu na sikuwahi kuwa nakoshwa kiasi hiki, najikuta tu najipeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…