prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
ndugu yangu hapo ushaanza kuchokwa, na nahisi kashapata mwingine
jamaa yupo busy tu, binti anajishutukia,[/QUO
ubusy gani hata zile huduma za zamani zimekufa haya hata mawasiliano mpaka dada wa watu ndo aanze mmh
Mi hata siombagi ushauri najiondokea kimyakimya. Use your head girl
Nawashukuru wote,nilikutana nae kipindi niko kazini yaan ghorofa moja ila kampun tofauti...yaan mapnz yalkuwa moto cos tulkuwa tunaonana kla cku bt nw hata miez 3-5 tunaweza tusionane kla cku yko busy,na ikitokea tumeonana basi mm ndo nabembeleza kweli..co kwamba ctak kazi mm nna degree bt ajira ndo ngumu,wkt yy ndo anasoma bachelor hku anafanya kazi..mapenz yanatesa sana
we binti acha roho mbaya kama mlinzi wa mochwari!....eti 'hata elfu 20'......kwani ww umewahi kumpa zawadi au hata hiyo elfu 20 unayoililia hapa?.......nampongeza sana jamaa maana kachoka na mizinga yako ya kipuu.zi!.....sijui shida yako aibe wamtoe roho kijana wa watu!
kabisa lolalola, sa huyu sijui anataka uthibitisho huku?..yaani hapo ni kutimua vumbi afu na ashukuriwe Mungu aliweka macho mbele, prettydiva ukigeuka nyuma utakuwa nguzo ya chumvi shauri yako..
pole mama yanauma sana just be strong kila mtu akisema yake hapa we utajiona afadhali yani jipe moyo utampata akupendae kwa dhati Mungu ni mwema.Nawashukuru wote,nilikutana nae kipindi niko kazini yaan ghorofa moja ila kampun tofauti...yaan mapnz yalkuwa moto cos tulkuwa tunaonana kla cku bt nw hata miez 3-5 tunaweza tusionane kla cku yko busy,na ikitokea tumeonana basi mm ndo nabembeleza kweli..co kwamba ctak kazi mm nna degree bt ajira ndo ngumu,wkt yy ndo anasoma bachelor hku anafanya kazi..mapenz yanatesa sana