Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
ungekuta machine ungebakia jombaa?[emoji18]
vepe?
Yallah[/QUOTE
Mwengine amefumaniwa huku STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
na mwingine hajui kutongoza hukuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke
kanywe na babakoChai,
unamcheka ee?Hahaaa hahaaaaaaa
kanywe na babamkwe wakohahaa Moneypenny hii chai hii
Ebanaeeeeee.....!!
kanywe na baba mkwe wakooohahaa Moneypenny hii chai hii
mbona mimi nilishawahi kuingia kwenye 18 za wakubwa na nikatoka kama nilivyoingia!hii story peleka kwa shigongo yaani uingie kwenye 18 halafu uchomoke kirahisi hivyo hii story