Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Aug 21, 2019 #1 Amechaguliwa Vyuo Viwili, Cha Ushirika Moshi (Muccobs ) katika kozi ya Business information and communication technology Cha pili ni TIA (dsm) kozi ya Business Administration. Sifa za mdahiliwa +Anapenda ujasiriamali (ufugaji na kilimo ) hivyo anataka sehemu ambayo ataweza kufanya ujasiriamali +Anapenda exposure (kujifunza, kusafiri sana ) Hivyo karibuni kwa ushauri
Amechaguliwa Vyuo Viwili, Cha Ushirika Moshi (Muccobs ) katika kozi ya Business information and communication technology Cha pili ni TIA (dsm) kozi ya Business Administration. Sifa za mdahiliwa +Anapenda ujasiriamali (ufugaji na kilimo ) hivyo anataka sehemu ambayo ataweza kufanya ujasiriamali +Anapenda exposure (kujifunza, kusafiri sana ) Hivyo karibuni kwa ushauri
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Aug 22, 2019 Thread starter #2 Wakubwa, mawazo yenu ni muhimu
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Aug 22, 2019 Thread starter #3 "wanakuja " hapa siioni
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,772 Reaction score 35,771 Aug 22, 2019 #4 Mr Confidential said: "wanakuja " hapa siioni Click to expand... Kama anapenda ujasiamali ningeshauri akasome hiyo ya mocu... Ya TIA ni nzuri ila sio kama hiyo ya ushirika.
Mr Confidential said: "wanakuja " hapa siioni Click to expand... Kama anapenda ujasiamali ningeshauri akasome hiyo ya mocu... Ya TIA ni nzuri ila sio kama hiyo ya ushirika.
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Aug 23, 2019 Thread starter #5 Upepo wa Pesa said: Kama anapenda ujasiamali ningeshauri akasome hiyo ya mocu... Ya TIA ni nzuri ila sio kama hiyo ya ushirika. Click to expand... Shukrani mkuu
Upepo wa Pesa said: Kama anapenda ujasiamali ningeshauri akasome hiyo ya mocu... Ya TIA ni nzuri ila sio kama hiyo ya ushirika. Click to expand... Shukrani mkuu
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,486 Aug 26, 2019 Thread starter #6 Advise please