Denicedion
Member
- Jan 11, 2015
- 33
- 7
Wana JF mm ni kijana mwny umr wa miaka 18 na nipo katka mahusiano na mschana flan ambae ni jiran ye2,wkt nkiwa kwny mahusihano nae dada ake alikua hajui k2 na 2likua marafik saana ila baada ya dada ake kugundua bc ametokea kunichukia saana kupita kiac mpk kufikia hatua ya kuahid kuniua kama ncpo achana na mdogo wake mby zaid dada huyo amesha olewa na ana watt wa3
NAOMBEN USHAUR WENU NIFANYEJE
NAOMBEN USHAUR WENU NIFANYEJE