ushaur wenu naomba


in short huyo mwanaume wewe unaonyesha kumuacha huwezi na yeye kuacha hawezi, inabidi mvumiliane for the sake of love. Ungejiuliza uyo aliyekaa nae miaka minne nini kimemshinda itakuwa ni hizi tabia zake so either usepe au uvumilie kila jambo. Enjoy your love.
 
mshauri UNDENIABLE vipi tena!!!!!


Nimemwagia dogo bonge la ushauri, ila i question her ability to learn so quickly! kwann aandike vibaya tena na tena kwa kurudiarudia as if ni kilema, halafu pia ni mgeni humu na anaomba ushauri tena kwenye janga la kimataifa! she cannot be serious, ama ni utoto unamsumbua ama ni mwanajf mzoefu tu hapa ameamua kutuzingua!
 

naona ameanza kuandika vizuri

kumbe ukituliaga na wewe unatoaga ma bonge ya ushauri
 
naona ameanza kuandika vizuri

kumbe ukituliaga na wewe unatoaga ma bonge ya ushauri

hahahahaha sasa wewe umesahau ulikuwa umenipendea nini kipindi kile tunapendana! si ilikuwa maushauri au ilikuwa u-handsome!
 
Pole sana binti kwa changamoto hiyo inayokukabili, maisha ni maamuzi na pia ni chaguzi. Namna unavyoishi leo inaweza kukuonesha utakavyoishi kesho, uchaguzi mzuri/mbaya unaoufanya leo ndio utakao kuletea maisha mazuri/mabaya utakayo ishi kesho. Wewe bado mtoto mdogo ndiyo maana unataja mambo mengi sana ya mpenzi wako yanayokukera lakini cha ajabu bado unasisitiza kuwa nampenda sana, tena kwa kung'ang'ana.
Kwakua umeomba ushauri basi nisikilize mtoto mzuri ili nikushauri nawe ufanye maamuzi.
1. Kaa nae seriously kwa mazungumzo, mweleze kinagaubaga hatari ya kile anachokifanya kwa mustakabali wa maisha yenu ya sasa na ya badaye. Mweleze unapenda kuishi maisha ya namna gani (kumcha Mungu, ulevi etc)
2. Jiwekee deadline, namaanisha panga muda wa matazamio. Unampa muda gani awe amebadilika?
3. Chukua hatua either kuachana naye au kukaa vyovyote atakavyokua.
Angalizo:
Kama unataka uingie naye kwenye ndoa kuwa makini katika kufanya maamuzi, ndoa siyo mapenzi ya miaka 2/3/4 au 5. Hapa tunaongelea maisha dada, vitu ambavyo unaona anakufurahisha vingine ni vya kupita, anafanya tu ili ukamatike. Ukiingia kwenye ndoa na kukaa vya kutosha, kuzoeana vya kutosha, kujuana vya kutosha utakuja gundua kuwa maisha ni zaidi ya matamanio na hapo ndipo utakapo jilaumu kwa uchaguzi ulioufanya au utamshukuru Mungu kwa uchaguzi ulioufanya.
Wanandoa wengi sana wanalalamika, wanaume wakiwalaumu wanawake na wanawake wakiwalaumu wanaume kuwa ndio wabawa bila kujua kuwa huyo aliyenae (personally) ndiye mbaya na hii ni kutokana na uchaguzi alioufanya kwa hiyari yake. Kuwa makini wakati wa uchaguzi ili ufurahie matokeo.
 
Nilichogundua hapa ni kimoja tu
Hujadanganya umri

Mtu anavuta bangi unauliza ufanye nini? hujui madawa ya kulevya ni addictive??
 

Tuna sahau kuwa hili jukwaa lina angaliwa/tazamwa/changiwa na watu tofauti tofauti, uandishi huo kwenye blue una kera sana.
Sidhani kama ataweza kukuelewa kama wewe mwenyewe unashindwa kuandika ili watu wote waelewe.
 

Mulugo product at work! 21 years ndo utakuwa umemaliza form six na unajiandaa kwenda chuo! kasome kwanza binti acha mapenzi! hapo kwenye red una uhakika gani kuwa huyo boyfriend wako ndo aliyemsaliti the former girl akapigwa chini wewe ndo umejitumbukiza naye atakupiga chini.
 
wewe catharine ni muislam?
huyo baniani nae ni muislam sio?

bangi na madawa ya kulevya anavuta?

na wewe muandiko wako sijui unatumia nini?tambuu?
loh! hata mimi nimeshindwa kuelewa wakati anaandika alikuwa katumia kilevi gani mana huu uandishi.........!!!
 
Tayar i hope now utaelewa

dah!!kama mtu anavuta mpaka bangi
thn ukimshauri aache inakua ugomvi mi
sidhani kama anakufaa,coz ni lazima unakereka
na tabia hizo,unaweza kuhimili hizo kero?jibu unalo wewe!!
pole mweeeeh ndio mapenzi hayo
 
naimani bado unasoma hebu soma kwanza...
Af usidhani ukiona watu wanapendana usitamani nawe kwenda kuona kilichomo ndani yake, umeona uliyoyataka kuyaona sahz unalalama ..mrudishe kwa mwenye wake aliezoea bange...
 
Baada ya kuachwa na uyo wa mwnzo ndo amekua ivo
 

dah!!kama mtu anavuta mpaka bangi
thn ukimshauri aache inakua ugomvi mi
sidhani kama anakufaa,coz ni lazima unakereka
na tabia hizo,unaweza kuhimili hizo kero?jibu unalo wewe!!
pole mweeeeh ndio mapenzi hayo
Unajua nini? Haniker wala hanifanyi vitu vibaya, but sipendi because haina faida, na its not good for health
 
Am so sure that ye ndo aloachwa, na haya yote yamekuja baada yaivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…