wewe catharine ni muislam?
huyo baniani nae ni muislam sio?
bangi na madawa ya kulevya anavuta?
na wewe muandiko wako sijui unatumia nini?tambuu?
M ni msichana wa miaka 21, na mpnz wng ambae ni 25, kiukwl our relation started as a joke, coz ye aliku anampnz wke anampenda sana alishi nae kw miaka mine, bt later on alikuja kumsaliti, den he met me we became frnds, den widout realizin we fell 4 each other, nampenda n n yy ananipenda sana nashkuru mungu ke ilo bt tatizo lunakuja ivi, yy ni mbanian bt alislimu, ila tng najuana nae kuna vi2 vingi anafanya n it proves dat he loves, hajawah kufanya ki2 kiacho nifanya o kupelekea kumsuspect kuniendea kanyume, bt nachoshindw kumuelewa, yy anavuta cgara, bang, analewa, haswal, ni vi2 ambavo muislam yoyote hatopenda, hajawah kuniende kinyume kwny mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikikjazania ugomvi nam4ce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez
Anatumia bangi
K, m sioni sababu ya kuchunguza coz haniendie kinyume, just ushaur wenu nimfanyeje aache ayo mambo
M ni msichana wa miaka 21, na mpnz wng ambae ni 25, kiukwl our relation started as a joke, coz ye aliku anampnz wke anampenda sana alishi nae kw miaka mine, bt later on alikuja kumsaliti, den he met me we became frnds, den widout realizin we fell 4 each other, nampenda n n yy ananipenda sana nashkuru mungu ke ilo bt tatizo lunakuja ivi, yy ni mbanian bt alislimu, ila tng najuana nae kuna vi2 vingi anafanya n it proves dat he loves, hajawah kufanya ki2 kiacho nifanya o kupelekea kumsuspect kuniendea kanyume, bt nachoshindw kumuelewa, yy anavuta cgara, bang, analewa, haswal, ni vi2 ambavo muislam yoyote hatopenda, hajawah kuniende kinyume kwny mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikikjazania ugomvi nam4ce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez
lara 1 una point kubwa sana, tena sana, lakini many things such as ages and exposure should not remain constant!Kuna msemo mimi ninauamini sanaaa! LOVE ME AS I AM!!!!!!!!!!
Kwanini watu wanatabia jst simply unampenda basi anataka akudictate nini cha kufanya, nini cha kuongea na nini cha kula!
WHY CANT YOU JUST LOVE SOME ONE N LET THEM BE THEMSELVES!!!!!!!!!! Kama enzi za utmwa afanye kukurizishaa! N the worst part hata akifanya kukurizisha HUTORIZIKA! U will keep demanding more n more! Khaaaaaaa!
Ndo yale yale Buzi langu moja lilipiga si uache hio kazi coz hela nayokupa ni zaidi ya mshahara huo! Msheeeeeeeeew! Nikamjibu sio kuwa naenda kazini kufata hii hela ya mboga, bt ku socialize, kujungua kidogo, kusengenya kidogo, umbea umbea! Siku inaisha Burudaniii!!!!! Nikishinda ndani siku nzima gubu langu utaliweza?
Na wewe bi dada huyo mshihiri akiacha hivo vitu hilo GUBU lake hamtodumu robo saaa. Apart frm being your man, he still a man, with personal feelings n ambitions. Sio kisa bwana wako basi maisha yake ya simame na kukuhudumia wewe mfalme.