Kakajambaz Jr
Member
- Oct 4, 2012
- 59
- 13
Mapenzi kama siasa, usiposema uongo hupati kura hapendwi mtu bila kitu, anaekuita baby ndo atakaekuita babu ukifulia, jipangeni watu wangu maisha magumu na hayarudi nyuma, hakuna tuzo ya umalaya zaidi ya ukimwi.
"Acha michepuko sio dili "
Hahahaaaaaaaa! Michepuko isingekuwa dili watu wasinge chepuka!
Hahahaaaaaaaa! Michepuko isingekuwa dili watu wasinge chepuka!
Hahahaaaaaaaa! Michepuko isingekuwa dili watu wasinge chepuka!
ni vice versaHakuna tuzo ya umalaya zaidi ya ukimwi...na tuzo ya wasiokuwa malaya ni IPI?