Nnatafuta pikpik kwa ajil ya matumiz yangu binafsi sio biashara.Katka kuwindow shop,nikakuta pikpik ya kichina Kp125-7.Nmependa mwonekano wake lakin siiujui uimara wake,upatikanaj wa spea,wala bei ya spea zake kama kubwa sana.Kama kuna mtu ashawah kuitumia,au fundi pikpik naomba anishaur kama inafaa kwa matumiz hapa mjini.