sharama
Senior Member
- Sep 20, 2016
- 126
- 39
Baada ya matokeo ya kidato Cha nne kutoka kijana wangu ana alama hizi, Civ D Hist D Geog D kisw C Chemist D English C biology C Math F mimi mlezi sinaufahamu wowote kijana anataka kuendelea masomo je hizi zitamsaidia kuendelea ama ndiyo basi? Ushauri wako nimhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
