We pumbavu mofo na kila tusi ntankutukana.Duniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu.
Kwa mda mrefu mama amekuwa akituaminisha kuwa baba ni mchawi, afai , katufunga kuzimu, "baba yenu ni mchawi ataki musome ,kawafunga kuzimu akuna kusoma Wala kufanikiwa , tena yeye tajili kuzimu Ila uku duniani masikini"
Yalikuwa maneno ya mama akituaminisha kuwa baba nimbaya,
Baada ya kuwa Na ujasili Na kuwa Na uwezo wa kuchambua mambo nilikuja kutambua kuwa yeye mama ndo mchawi mkubwa, kamchawia baba ajabu uchawi wake umekwenda vibaya adi wa toto wake umetupata.
Karoga familia nzima.kilichobaki ni kumsingizia Mzee.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
We pumbavu mofo na kila tusi ntankutukana.
Sijasoma hata ulichoandika nimeona.
MAMA NI MAMA
Tatizo nini boss !huna kisu? Njoo uchukue hi hapa Roman dagger ukamshindilie nayo....akome.
Nimesitika sana,Mama aliye kubeba tumboni miezi 9 why asikuroge ukiwa tumboni.Nakushauri nenda kapime ubongo kama uko sawa kisha utubu dhambi zako la sivyo maneno huumba jera inakuhusu.
Ushauri: Kikubwa ni kumuomba Mungu, kwenda kuvunja hayo mambo, then mama mwombee Msamaha kwa MunguDuniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu.
Kwa mda mrefu mama amekuwa akituaminisha kuwa baba ni mchawi, afai , katufunga kuzimu, "baba yenu ni mchawi ataki musome ,kawafunga kuzimu akuna kusoma Wala kufanikiwa , tena yeye tajili kuzimu Ila uku duniani masikini"
Yalikuwa maneno ya mama akituaminisha kuwa baba nimbaya,
Baada ya kuwa Na ujasili Na kuwa Na uwezo wa kuchambua mambo nilikuja kutambua kuwa yeye mama ndo mchawi mkubwa, kamchawia baba ajabu uchawi wake umekwenda vibaya adi wa toto wake umetupata.
Karoga familia nzima.kilichobaki ni kumsingizia Mzee.
Kweli kabisa Mkuu,mtu hadi amefikia hatua ngumu ya kutafuta suluhisho,ni wazi anahitaji maneno ya busara na utulivu katika kumshauri na sio kum abuse!!.Usiwe unakimbilia tu kuwahukumu watu wakati haujui Wana pitia Katika majaribu makubwa kiasi gani. ...
Hata kama unaona kuwa mtu kakosea jitahidi kuwa unatumia maneno yenye hekima Katika kum-rekebisha... humu tuna kutana watu mbali mbali Kuna watu wanapitia changamoto ngumu Katika hadi huwa Wana tamani kujiua. ...so hauoni kuwa unapo mu -abuse mtu kama huyo unaweza kuwa umewasha njiti ya kiberiti petro station