Kwanza nakupa pole kwa harakati zako za kisiasa,baada ya pole hizo naomba nikupe ushauri wa bure kwamba inaonekana wewe ni kipenzi cha watu hasa wafuasi wa SISIEM na vibaraka(waganga njaa) wao ndan ya CDM;hivyo ni heri ukahamia kwenye chama ambacho kina wafuasi wako wengi ambao kimsingi hata kitabia wana fanana na wewe.Chama hicho si kingine bali SISIEM maana kwa kila mtu mwenye akili zake timamu anafahamu fika kwamba dhamira yako si tu uenyekiti wa chama ila kuna kitu kimejificha ndan yako ambacho ni cha kishetani kabisa,au vinginevyo kusanya wafuasi wako ili uanzishe chama chako cha siasa kama kweli unajiona unakubalika na wananchi kuliko kutuambisa sababu zisizo na msingi wowote eti umekitumikia chama tangu ukiwa na miaka 16 na ukijitolea kusimika nguzo za bendera za chama.By the way nilikukubali sana miaka ya nyuma lakini kwa sasa hapanaaaa.

Mwanangu umempa huyu kijana ushauri wa bure na wa maana mno .Kwa wakati sasa nadhani hata mimi nasema kijana wangu Zitto tafadhali ingia tu CCM .
kwa staili hiii ccm kuitoa ni ndoto.mtu asioji mapato na matumizi kishakuwa mhaini,msaliti.tunahitaji chama cha upinzani kitakachotuunganisha watanzania na kuweza kuitoa madarkani CCM.juzi tumeona watu wameanzisha chama ,baada ya kuvuliwa uanachama HAMAD RASHID,pia akina RUNGWE na wenzake wameanzisha chama.ww unamshauri ZITTO naye aanzishe chama chake.TUTAANZISHA VINGAPI??? matokeo yake kila KABILA liakuwa na chama chake .Jamii kubwa ya watanzania tunataka mageuzi tatizo wapinzani ni wanafiki.tunaendekeza yaleyale ya CCM.UFISADI,UBAGUZI hususani wa KIKANDA, KABILA,DINI walionacho na wasio nacho.tutafute chama kitakachowaunganisha watanzania bila kujali DINI,RANGI,KABILA NK.
KUNA VYAMA VIKUUU VITATU TUVIIIMARISHE HIVI TUNAITOA CCM BILA TABU.hakuna hata kimoja kitakachoweza kuchukua peke yake tuondoe ubaguzi kwenye vyama vyetu.
kweli fungasha zito wanakuhitaji SISIEMU
Huo ushauri ungempa babu au DJ Nadhani ungesaidia kuimarisha sacoss yenu
Haondoki mtu hapa,kama nia yenu kula pesa za sabodo kisha mkiulizwa mnakuwa wakari mmeula wa chuya.
Hakatwi mtu hapa.hivi nyie mamburura nani kawaroga hadi mshindwe kumjua hasa anaye kihujumu chadema?mbona waraka wa kitira umeweke wazi mapungufu ya mbowe na slaa.kusoma hajui nakusikia hamsikii.enyi kizazi cha nyoka ninani aliye waroga?
mhaini huyo anahoji kwa njia ya vichochoroni wakati yeye ni kiongozi alikuwa wapi,au anakuwa wapi kama ni kiongozi mzigo hahudhurii vikao akasikia wanavotoa taarifa basi ni hasara yake asitusumbue
Umetumwa na mbowe umtukane mwanasiasa.ushindwe na ulegee.shetani ni wewe ulie tumwa.
Hakuna hoja ya maana na yenye mashiko kwamwenye akili timamu eti zito anakihujumu cdm.
Wanao kihujumu kwakula fedha za cdm hamuwasemi mnawaona wako sawa.ila anayeulizia uendeshwaji wa chama kwamujibu wa taratibu,mnamwona hafai.kweli vijana tumezowea kutumiwa kama makarai.